Young Lunya – Fimbo Lyrics

Fimbo Lyrics by Young Lunya
 Young Lunya Fimbo Official Lyrics

Chorus:
Hawatuwezi ooh nana
Wanangu gang gang sana (gang gang sanaa)
Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)
Tunakiwasha ndoo mana (Heeeiya)
Tunawakalisha
Kama (fimbo kama kawa)
Kawa (fimbo kama kawa)
Kama ( fimbo kama kawa)

Dawa


 
Verse 1:
Wakija vibaya wanakaa
Wambea vikao watakaa
Mawaki nafasi ya kuongea siwapi
Huwaga nawa nyanyapaa
Nimewapa nafasi ya kunijua jina wakataka na nnapokaa
Leo napendwa sababu nnacho nikikosa, habari zitatapakaa
Kung’aa ndoo zetu
Mambo wena mfwetu
Watoto kibao wanalia Dm
Sijui niwagongee tuu
Na nawawashia full
Hauzimi moto wakiifuu
Wanashanga kuona
Rapper wakisasa mwenye pigo za ki-old school
Tatizo hawajulikani
Kwa hivi nnavyochana ntabattle na nani
Kwa sasa michongo yote ya zamani
Naipiga X kama Petit Man
Ni mimi tuu na hizi stimu za mjani
Chuki ni chuki kwani kitu gani
Acha utani,
Rapper unayejaribu kum-diss  kwa sasa hawezekani
Si ndo tunakimbiza
Roho tunawaumiza
Napata kinyaa nikitema yai
Sjui yai langu Visa
Watu hawaishiwi visa
Ka natoka naumiza

Kila wanaponiona camera kibao wakazani naigiza (Oh My)


Chorus:
Hawatuwezi oooh nana
Wanangu gang gang sana (gang gang sanaa)
Mwanzo walituona local sanaa (local sanaa)
Tunakiwasha ndoo mana (Heeeiya)
Tunawakalisha
Kama (fimbo kama kawa)
Kawa (fimbo kama kawa)
Kama (fimbo kama kawa)

Dawa


Verse 2:
There they go wanga there they go
Na ukija kwenye mziki mi kisiki, you better know
Why unaniombea dhiki, dhiki dhiki mwenzakoo
Maana ukija kwenye mziki kila nnachofanya ni miracle
Marapa wadogo nawaonea
Mi ni kama gonjwa naenea
Wanaonijua kitambo wanaelewa
Toka enzi za uongo na umbea
Kwenye beat hawakai wanaelea
Na ikawe funzo bure nawapea
nawaambia ukweli sitowaongopea
Nawaona kama choo ndomana nawanyea
Anayewakimbiza katima michano, kama sio mimi ni nani mwengine
Dundo la Paul likipata verse ya mbuzi siku zote huwaga mashine
Mwendo haupoi nawakimbiza speed kwenye kona haishuki usipime
Idadi ya watu wasionikubari imekuwa ndogo sana nahitaji wengine
Wanaobana Nawataka wengine
Hata Wambea nahitaji wengine
Mana zama zimeshabadirika mpaka watoto wanapenda mashine
So ningependa wachawi wengine
Hata wanoko nipate wengine
Masnichii wengine wengine
Labda nkapata challenge pengine

Chorus:
Hawatuwezi oooh nana
Wanangu gang gang Sana (gang gang sanaa)
Mwanzo walituona local sanaa (local sanaa)
Tunakiwasha ndoo mana (heeeiya)
Tunawakalisha
Kama (fimbo kama kawa)
Kawa (fimbo kama kawa)
Kama ( fimbo kama kawa)

DawaAlso, check out these fire lyrics:

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

-Advertisements-
-Advertisements-
 

Do you find Offblogmedia useful? Click here to give us five stars rating!

 
About KelvinDerola 3706 Articles
Kelvin Dérola is a certified Journalist who has received his degree in Journalism from St. Augustine University. From May 21st 2022 to the present day, he is running this awesome website. When he isn't blogging, he is playing GTA or COD with friends or just listening to some new music. Wanna talk? Phone: +255 716 805 652 Email: [email protected]