Young Killer – Rudia (Mp3 Download)
Young Killer, a top-tier Hip Hop recording artist drops a new banger captioned “Rudia” and it’s here for your fast download.
Noted Lyrics
Mibwana mezaliwa kusema minasema ukishindwa kutafsiri we
Relax labda utanielewa Mwakani for now mama rudia anawatoto wawili
Wapili anaitwa tena nambieni sa wakwanza ataitwa Nani…
Pozi kumpoza chozi kumrenga yani naamua kumposa yule mloamua kumpenda
So kijua ndo hiki usipoanika unautwanga mbichi
Karibu tule ila nenda kanawe Coco beach
Sorry umenikuta leo na bad mood ila zege halilali hii habari iende
Mbali mpaka Hollywood afu niko serious sicheki na kima hawaniambii kitu
Kwanza wakisikia kuhusu mimi tu unawaaharibia siku we usiniharibie
Wasifu Pumbavu hamjui kuchana hamjui
Kushona washamba kuongea hamchoki enough
I’m the first and only kipenzi cha hii rap
Mwanza Mwanza nawachia injury Kwa hii rafu msodoki for Hip Hop
Stay on your length my mama
Nikiumia anafeel the same pain am a hustler
Listen to ”Rudia” by Young Killer and share your thoughts!
Listen Online
A message for you: Get out of that city and go away, to another, maybe that’s where you will find the life you are always craving.
• Also, check out:
Jux – Bado Yupo | Mp3 Download
Do you find Offblogmedia useful? Click here to give us five stars rating!