Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo | Download Mp3
Comment
Noted Lyrics
Silalamiki wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite
Related: Joel Lwaga – Mifupani | Mp3 Download
Mtetezi wangu
Yu hai Yu hai
Sitabaki kama nilivyo
Listen to ”Sitabaki Nilivyo” by Joel Lwaga below.
Listen Online
A message for you: Settle for less.
Do you find Offblogmedia useful? Click here to give us five stars rating!