Zuchu – Litawachoma (ft. Diamond Platnumz) MP3 DOWNLOAD

Litawachoma by Zuchu ft. Diamond Platnumz

Litawachoma is a song by Zuchu featuring Diamond Platnumz who is happened to her boss and the founder of WCB wasafi record label.

Such a song you don’t want to miss out on for anything! Giving you something great to update your playlist with.

Download ”Litawachoma” by Zuchu and share!


DOWNLOAD MP3


Listen Online


Noted Lyrics

Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama
Mimi na wewe hadi milele
Komesha wachokozi wabaki kututazama
Tuwatoe jasho la nywele
Haa nimesikia habari
Eti kuna mtu twamkera

Oooh mwana akae tayari
Maana bado movie hili trailer
Na usiku nikumbate (ni tete te)
Ooh my babe boo (ni tete te)
Kwa ghetto ning’ate ng’ate (ni tete te)
You know I love you
Nikizidi ugomvi unichape (ni tete te)
Silaha rungu (ni tete te)
Kwenye joto nipepee (ni tete te)

Mwendani wangu
Penzi letu kwao fire
Na litawachoma sana
Mmmh! Litawauma
Na litawachoma sana
Eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana
Oooh na hatuwachani
Na litawachoma sana

Still want to listen to thousands of hit songs? Click here to unlock the museum of good tunes.

 

Do you find Offblogmedia useful? Click here to give us five stars rating!

You May Like