AUDIO Diamond Platnumz – Mtasubiri Feat. Zuchu MP3 DOWNLOAD
”Mtasubiri” is a number #2 track found in Tanzanian musician, Diamond Platnumz‘s Extended Play (EP) titled First Of All #FOA featuring his so-called girlfriend Zuchu.
It’s a song in a form of dialogue that brings the vibe you all need as we know these two drops nothing but bangers. Lizer Classic produced and mixed this banger.
#FOA was released on March 11, 2022, and has a total of 10 songs with guest musicians like Mbosso, Jaywillz, et cetera.
Download ”Mtasubiri” by Diamond Platnumz and share!
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habariEti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Mnaosubiri tuachaneMtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtangoja)
Mtasubiri sana mtasubi
(Wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana mtasubi
(Vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana mtasubi
Want more? For thousands of hit songs, just count on us! Click here to see what we have in store for you.
Do you find Offblogmedia useful? Click here to give us five stars rating!